Zawadi za msimu wa Sikukuu - JIKITE NA FURSA

Latest

Fursa mbalimbali za kukuinua kiuchumi

Sunday, 10 December 2017

Zawadi za msimu wa Sikukuu



ZAWADI ZA KUWAZAWADIA MARAFIKI ZAKO MSIMU HUU WA SIKUKUU.

Kama inavyofahamika msimu wa sikukuu umeanza kwa sasa zimeanza hekaheka mbalimbali za maandalizi ya sikukuu , kama ni mfuatiliaji wa mambo duniani utaona marekani  na hata waingeleza wao wameanza kwa kuzinduliwa msimu huu wa sikukuu.

Pengine na wewe ni miongoni Mwa wanaojiandaa kushekekea sikukuu hii vyema na bila hiyana ya aina yoyote na huenda una familia unapenda pia kushelekea nayo ama umepata mpenzi mpya kwa mwezi huu na ni wakati mubashara kumuonyesha vile ambavyo hata juta kupendwa na wewe. Sasa pamoja na hayo sikukuu za aina hii zinahitaji maandalizi mbalimbali ambayo kwa hakika yatatoa fursa mpya ya wewe kufurahia vyema na maandalizi hayo ni kutia ndani ZAWADI.  Pengine huenda unajiuliza ni ZAWADI gani sasa utamnunulia umpendaye ili akukumbuke na mambo yaende kama ya yalivyo pangwa fuatana nami....

KUNDI LA WANAWAKE HUPENDA ZAWADI ZA AINA HII.

1√ Vipodozi na manukato.

2√ Nguo za muonekano wa kipekee.

3√Simu maridadi hasa hizi za kisasa.

4√Viatu na pochi maridadi.

5√ Mtoko wa hotel nzuri ama eneo tulivu lenye mvuto wa aina Yake.

6√ Gari ama usafiri wa hadhi Yake n.k..
Hizo ni baadhi ya zawadi wanazopenda wanawake kupatiwa msimu huu sikukuu.

KUNDI LA WANAUME.
Kundi la wanaume kwa kawaida wao hawapendelei zawadi sana kama walivyo wanawake ama watoto, wao huwa na mapendeleo kidogp sana kama ifuatavyo
1√ Vinywaji wao hupendelea vinywaji vya aina zao kama ni vinywaji laini ama vigumu najua unanielewa mpendwa msomaji nikisema hivi.

2√ Makuli safi na yenya mchanganyo.
Wanaume wanapenda misosi ya aina Yake na iliyotofauti na siku nyingine

3√ Kwenda kwenye clubs za mziki n.k
Wao hupenda kuchinganya siku za sikukuu ndiyo maana ni rahisi kuwakuta wanaume wapo wakishangilia Mpira tu siku ya sikukuu.

Furahia msimu huu wa sikukuu huku ukikumbuka kuwa mwezi wa kwanza ni mrefu kuliko mwezi wa kumi na mbili.

No comments:

Post a Comment